Michezo

Gus Poyet atangazwa kuwa kocha mpya wa klabu hii ya China

Kocha wa zamani wa klabu za Sunderland na Real Betis, Mruguay Gus Poyet ametangazwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Shanghai Shenhua ya China akichukua mikoba ya Mhispania Gregorio Manzano.

1poyet

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents