Uncategorized

Gwiji wa soka aliyeifikisha Simba robo fainali klabu bingwa Afrika na fainali ya shirikisho Afrika atoa mbinu za kuiua TP Mazembe (+Video)

Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa klabu ya Simba na mchezaji pekee aliyepiga hat-trick kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga Julai 19 mwaka 1977 Wanajangwani wakilala kwa jumla ya mabao 6 – 0, lakini pia kwamara ya kwanza akiwawezesha Wekundu wa msimbazi kutinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 ambali na hilo legendari huyo akiwa kama kocha alizidi kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka akiibeba tena miamba hiyo ya Tanzania kufika hatua ya fainali ya Mnamo mwaka 1993, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden Mputa’ amezungumzia mechi ijayo dhidi ya TP Mazembe na kutoa ushauri wake kwa vijana wa Simba SC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents