Tupo Nawe

H. Baba aeleza anavyoendelea baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno akiwa na Harmonize Jukwaani – Video

H. Baba aeleza anavyoendelea baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno akiwa na Harmonize Jukwaani - Video

Msanii wa Bongo Fleva H. Baba ameeleza jinsi anavyoendelea baada ya kupata ajali kwa kuaguka akiwa Jukwaani Mkoani Mbeya kwenye Tamasha la “JIPOZE NA TWIST”

Baada ya kupata ajali hiyo aliandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram: “Jana nimepata ajali jukwani nimetenguka kiuno hii style ni ngumu inaitwa slide nikipona sirudii tena kwa sasa nipo hospital #Asanteni sirudii tena nimekoma ? Slide slide slide sirudii, #Bado nipo hospital kiuno kimeteguka”

Na hivi ndivyo anavyoendelea akionekana kwenye hii clip fupi ya video baada ya kutoka Hospitalini.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW