Michezo

H. Baba kuichezea Toto Afrika kwenye ligi kuu Tanzania bara

H.Baba amejiunga na Klabu ya Toto Afrika ya Mwanza kuichezea kwenye msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara.

11379889_1616397905270329_515958642_n
H.Baba akiwa na wachezaji wenzake wa Toto Afrika wakati wa mazoezi

Muimbaji huyo amedai kuwa kutokana na kupumzika kwa muda kucheza soka la aina hiyo amekuwa akifanya mazoezi ya ziada ili kujiweka vizuri. Pamoja na kuingia rasmi kwenye soka, amesema ataendelea kufanya muziki na show kama kawaida.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents