Technology

Haijalishi mtandao wako uko vipi…Tecno Phantom 6 Plus Inateleza tu

Ukiachilia mbali Tecno Phantom 6 Plus kuwa simu iliyotengenezwa na betri inayodumu kwa muda mrefu zaidi, nikufahamishe kwamba simu hiyo pia ina uwezo mkubwa kwa upande wa intaneti. Tecno Phantom 6 Plus ina kasi ya hatari unapoitumia kupata mambo mbalimbali au kutazama video mtandaoni.

tecno

Sasa ukiunganisha hili la spidi na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu (Ikiwemo kuchaji kwa haraka) inakuwezesha kuitumia kwa muda wote bila mushkeli wala wasiwasi wa aina yoyote wa kuzimikiwa au kutoweza kuangalia video zako kwa wakati.

 

 

tecno2
Picha hii inaoneshani kwa jins igani Tecno Phantom 6/+ ilivyo na uwezo wa kuchaji betri kwa haraka ndani ya muda mfupi ikitumia USD Type C

Angalia uchambuzi mfupi kuhusu spidi ya Tecno Phantom 6 Plus kwenye upande wa intaneti na tupe maoni yako kwenye kisanduku cha ujumbe.

Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

Facebook
Instagram
Twitter

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents