Shinda na SIM Account

Haji Manara afanya kufuru Tandale kwa Diamond ‘walemavu wote niwalipia ada’ (Video)

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amesema atawalipia ada watoto wote walemavu kutoka shule za Tandale ambao wataanza masomo yao mwaka 2019. Amesema hayo Ijumaa hii kwenye sherehe ya birthday ya Diamond ambayo ilienda sambamba na kutoa misaada mbalimbali kwa wakazi wa Tandale sehemu aliyozaliwa Diamond Platnumz.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW