Burudani ya Michezo Live

Manara: Mkapa wanamichezo ulituachia uwanja, uliojengwa baada ya umati mkubwa wa mashabiki wa Simba kwenda Airpot

Alama yetu Wanamichezo uliyotuachia Mzee wetu Mkapa, Uwanja huu ulijengwa baada ya Rais wa wakati ule Mh Ben Mkapa kuona umati mkubwa wa Washabiki Airport ya Dar es Salaam, waliokwenda kuipokea Simba SC iliyotoka kuiondoa Zamalek ya Misri Kwenye michuano ya klabu Bingwa Afrika, Mzee Mkapa alishangazwa na umati ule na kujiridhisha kuwa Watanzania wanahitaji kujengewa uwanja mkubwa na wa kisasa.

Hyo ilikuwa katikati ya mwaka 2003 na Mzee Mkapa yy alikuwa akitoka nje ktk Safari zake za kikazi, Kiufupi bila Mzee Mkapa tusingekuwa na uwanja huu mkubwa na mzuri kupita vyote Afrika Mashariki. Ila mchango wa mashabiki wa Machampioni wa nchi Simba kujazana pale Kipawa ndio chanzo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW