Burudani

Hakuna Diamond bila Mashabiki – Harmonize

Msanii kutoka WCB, Harmonize amefunguka tetesi za kumiliki mkwanja mrefu kumzidi Diamond.

Muimbaji huyo anayefanya vizuri na ngoma ‘Kwa Ngwaru’ ameiambia Radio Five kuwa stori hizo zipo tu mtaani ila hazina ukweli wowote.

“Diamond kwa Harmonize ni kama mzazi, hakuna Harmonize bila Diamond, so mimi hata iweje atabaki kuwa Diamond, so hizi ni stori ambazo zipo mtaani,” amesema.

Ngoma ya Kwa Ngwaru ambayo Harmonize kamshirikisha Diamond, ni ya pili kufanya pamoja baada ya ‘Bado’ iliyotoka mwaka 2016.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents