Burudani

Hakuna Media yenye nguvu ya kutufukuza Tanzania – Babu Tale

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kwa kusema kwamba hakuna media ambayo inaweza kuwafukuza WCB Tanzania. Tale amesema hayo Jumatano hii wakati akizindua albamu ya msanii wake, Diamond Platnumz iitwayo ‘A Boy From Tandale’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents