Michezo

Hakuna wakutuzuia kuweka historia msimu huu – Lewis Hamilton

Dereva wa magari ya Mercedes, Lewis Hamilton ameitaka timu yake kuwa tayari kwa mashindano ya fomular one (F 1) ya msimu huu na kuweka rekodi kama waliyowahi kuiweka mwaka 2012 baada ya kutwaa mataji saba katika mashindano saba ya mchezo huo huku akiamini kuwa hakuna wa kuwazuiya kufanya hivyo.

Licha ya Hamilton kukabiliwa na ushindani mkubwa na timu yake ya Mercedes kutoka kwa Ferrari mwaka 2017 bado dereva huyo anaamini kuwa si Red Bull wala kampuni ya Ferrari wanayoweza kuwazuia kuandika historia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents