Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Bongo Movie

Hali ya Wastara ni tete

By  | 

Hali ya kiafya ya muigiza wa Filamu Bongo, Wastara si nzuri kwa sasa ambapo inaelezwa kuwa jana usiku alipoteza fahamu.

Tatizo hilo limemkumba Wastara akiwa nchimi alipokwenda kufanya kazi zake. Taarifa zilitolewa na uongozi wake kupitia ukurasa wa Instagram anaoumiliki yeye mwenyewe umesema hadi sasa hali yake sio nzuri na kuwaomba watanzania kumuombea ili kupona haraka.

Habari za Asubuhi Wapendwa Naomba Tumuweke kwenye Sala Zetu Dada Yetu mpendwa Wastara, kutokana na hali yake Anasumbuliwa na maumivu ya mgongo ambayo yanampelekeaga kupoteza Fahamu, Jana usiku yamemkuta matatizo hayo akiwa nchini Kenya ambako yupo kikazi.
Amelazwa huko na hali yake bado siyo nzuri . Tunaomba Dua zenu wapendwa iliarudi kwenye hali yake ya kawaida.
#Imetolewanauongozi

By Peter Akaro

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW