Habari

Halima Mdee ampa pole Dkt Kikwete ‘waliokuzushia walifikiria ulichotamani kukisema’

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amempa pole Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa maneno ya uzushi wanayozusha juu yake ambayo amekuwa akikanusha mara kwa mara.

Mdee ameeleza kuwa kweli amezushiwa huku akisema waliokuwa wakimzushia walifikilia alichotamani kusema ila mazingira sio wezeshi.

Pole sana Mkuu..na kama kweli umezushiwa waliokuzushia walifikiria ulichotamani kukisema, lakini mazingira sio wezeshi…

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents