Aisee DSTV!

Halima Mdee awashukuru Watanzania ‘Nimeshatoka hospitali na afya yangu inaimarika’

Mbunge wa Kawe jijini Dar es salaam kupitia CHADEMA Halima James Mdee,  amewashukuru Watanzania kwa maombi yao pindi alipokuwa akiugua, huku akiwajulisha hali yake inavyoendelea kwa sasa.

2

Halima Mdee ameandika ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa twitter na kusema kwamba hivi sasa amesharuhusiwa kutoka hospitali hivyo yupo nyumbani kwake, na anendelea vizuri kiafya.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW