Tupo Nawe

Hama hama vyama bado inaendelea, CHADEMA wapatwa na pigo lingine Dodoma (+picha)

Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Getrude Ndibalema amejiuzulu uanachama wa Chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi leo jijini Dodoma.

Sababu ya kujiuzulu kwake ni kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya 5 ya Mhe. Dkt. Rais John Magufuli.

Kuhama kwake kunakuja baada ya baadhi ya Wabunge wa Chama hicho (CHADEMA) na Madiwani kutangaza kuhamia CCM.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW