Michezo

Hamilton afanya kufuru birthday ya mbwa wake

Dereva wa magari ya formula one, Lewis Hamilton ameposti picha kwenye mitandao yake ya kijamii inayoonyesha akimfanyia sherehe ya kuzaliwa mbwa wake hapo jana usiku kwakumvisha vitu vya samani pamoja na kuzungukwa na dola.

Lewis Hamilton has taken to Twitter to celebrate the birthday of his bulldog Roscoe (pictured)

Nyota huyo wa F1, ambaye mapema juma hili alitwaa ubingwa wa Mexican Grand Prix ameamua kumfanyia sherehe hiyo mbwa wake huku akiposti picha zake kwenye mitandao.

The six-year-old bulldog was seen sporting gold glasses and a gold chain in the photo

Katika picha hiyo ‘Roscoe’ anaonekana akiwa amevalia miwani kubwa ya dhahabu na cheni yake huku akizungukwa na dola wakati mbwa mwingine akivishwa kitamba cha rangi ya pink kilichomtakia furaha ya kuzaliwa.

https://www.instagram.com/p/BpXfg8ehNUx/?taken-by=lewishamilton

Hamilton siyo staa peke yake aliyewahi kuposti picha kwenye mtandao wake wa Instagram kwa kusherehekea birthday ya mbwa wake lakini pia Trainer Kirstin McMillan aliwahi kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents