Burudani

Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video)

Mwanamitindo Hamissa Mobetto anaendelea kula bata na mpenzi wake mpya ambaye anadaiwa kuwa ni mchezaji wa Basketball.

Mrembo huyo ambaye alifanikiwa kuzaa mtoto mmoja na Diamond Platnumz na baadae kuachana, ameonekana kuwa na furaha toka awe na upenzi wake huyo mpya.

Wiki hii amekuwa akipost video mfululizo akiwa na mwanaume huyo huku akiandika ujumbe ambao unaonyesha wawili hao wanapendana sana.

Ila Penzi Letu Raha Sana 😩🙌🏽❤️🎊.
.
.
#IlaMeBilaHuyuSiweziJaman🙌🏽
#YaniApoNimepakatwa🙆🏽‍♀️
#IlAnavyontazamaYaarab😩😍🙌🏽☺️

Mrembo huyo alienda Marekani kwaajili ya show pamoja na shughuli zake binafsi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents