Michezo

Hans van Pluijm akutana na rungu la TFF

Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm ambaye saivi amepata cheo na kuwa mkurugenzi wa Michezo wa klabu hiyo, amepigwa faini ya sh. 500,000 na kufungiwa mechi tatu baada ya Kamati ya Saa 72 ya TFF kukaa na kubaini ana makosa anadaiwa kuwazonga waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa.

Pia baada ya mechi kumalizika alikwenda kwenye chumba cha waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa. Adhabu hiyo ni kwa uzingativu wa Kanuni ya 40(1).

yangapic

Klabu ya Yanga pia imepigwa faini ya sh. 500,000 baada ya washabiki wake kuwazonga waamuzi na kuwatolea maneno ya kashfa walipokuwa wakiingia vyumbani wakati wa mapumziko. Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42(1).

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents