Burudani

Happy Birthday Fid Q.

Yupo duniani tangu Agosti Kumi na Tatu….Kiubishi ubishiii!

Leo sio birthday tu ya Fid Q,aka Ngosha the SWAGGA DON bali

Nii siku muhimu sana kwenye Hip Hop Family ya Tanzania, kwani ndio one of the illest M.C’ees kwenye game Bongo alizaliwa. Mchango wake na changamoto umekuwa mkubwa sana kwa vijana na hasa kwenye fani ya muziki wa Hip Hop hasa kwasababu ya utofauti wake wa rhymes zinazoelimisha na flow yake.

 

Happy Born Day Son!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents