Burudani

Happy birthday!


DJ Venture (kati) leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa, Bongo5 inamtakia kila la kheri na aendelee kufanikiwa katika shughuli zake.

DJ Venture anapatikana katika makamuzi makali kila Jumamosi Mzalendo Pub a.k.a kiota cha Old Skul ndani ya Millennium Towers, Dar es Salaam.

Pamoja sana!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents