Habari

Happy Birthday Jide

Happy Birthday Jide
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Judith Wambura aka Lady Jay Dee

Hongera sana Jide!! Jana ilikua ni party mwanzo mwisho ndani ya Thai Village (Arabela) na Machozi Band
huku watu wakisherehekea birthday ya mwanadada mkongwe ndani ya game
la muziki tanzania Lady Jay Dee.

Happy Birthday Jide

Ilipofika saa sita kamili mtu mzima Kapiten Gadna alishika MIC na kuanza kumuimbia mke wake happy birthday pamoja na marafiki wengi waliokwepo karibu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents