Burudani
Happy Birthday Luca
Leo ni siku muhimu sana kwenye Familia yetu ya BONGO5, founder na CEO wetu, Luca anasheherekea birthday yake. Mjasiriamali wa ukweli na kati ya Young guns wanaokimbiza Bongo kwa akili nyingi na creativity.Tunamtakia kila la kheri Big Boss wetu kwenye siku yake ya kuzaliwa!
HAPPY BORN DAY SON!