Picha
Happy Birthday Luca, aka The Boss Man
Leo ni siku muhimu sana kwa familia ya Bongo5. Muasisi wetu anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Na sisi tunachukua nafasi hii kutambua mchango wake kwetu, na kwenye anga za social media Tanzania. Happiest of birthdays Boss!