Burudani

Happy Birthday mtu mzima Shetta

Jamaa anajulikana kama Shetta Bilali but kwa jina la kisanii ni Shetta. Mshikaji ni ana kipaji ile mbaya na anatokea pande za DarStaminaH chini ya mtu mzima Shabaha CEO wa DarStaminah. Track yake ya kwanza kumtambulisha kwenye ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya ilikua ni Me na play ambayo alimshikirikisha Mwana Fa na jamaa akutaka kufanya vibaya track ilibang kwenye vituo vingi vya radio na soon wakatoa Remix yake ambayo Ndani alisimama mtu mzima Godzilla, Belle9 MwanaFa, & Nikki Mbishi.

Leo ni siku ya kuzaliwa Shetta na akaona si vibaya akiwashukulu mashabiki wa bongo5 na wengine wote kwa ujumla kwa kutuma ujumbe mfupi wa maandishi. Bongo5 inamtakia mafanikio mema Shetta katika maisha yake ya kumiziki na mtaani kwa ujumla.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents