DStv Inogilee!

Happy Birthday Zitto Kabwe

Leo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Kabwe ametimiza umri wa miaka 36. Ameamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuendelea na majukumu kwenye jimbo lake ambapo leo anakutana na wavuvi katika vijiji kadhaa kwenye jimbo hilo.

“I dedicate my 9999th tweet to all Tanzanians. Don’t lose hope. This great country can be transformed. This great nation can prosper,”ametweet leo.

“Hii ya 10K ninaipeleka kwa wana Kigoma Kaskazini kwa kunipa fursa ya kulitumikia Taifa langu. I am Zitto because you made me so. Asanteni.”

Bongo5 inamtakia kila lakheri Mheshimiwa Zitto Kabwe katika siku yake hii muhimu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW