Burudani

Harmonize aanika hadharani meseji za msanii kutoka Nigeria akiomba kuperformu Wasafi Festival (+Audio)

Harmonize aanika hadharani meseji za msanii kutoka Nigeria akiomba kuperformu Wasafi Festival (+Audio)

Msanii wa muziki kutoka lebo ya Wasafi iliyoko chini ya Diamond Platnumz, Harmonize ameamua kuweka wazi meseji zake alizokuwa anawasiliana na msanii kutoka Nigeria akiomba kuja kushiriki angalau katika moja ya tamasha la Wasafi Festival Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameweka wazi meseji hizo huku ukifuatia ujumbe mzito kutoka kwa Harmonize chini ya post hiyo, Msanii ambaye meseji zake zimewekwa hadharani na Harmonize ni Mr Eazi ambaye majuzi alikuwepo Tanzania kwa ajili ya kutafuta vijana wenye uwezo wa kuimba.

Ujumbe huo unasomeka hivi:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents