Aisee DSTV!

Harmonize afichwa msikitini Tanga kuhofia usalama wake

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy amelazimika kufichwa ndani ya msikiti wa Chuda kwasababu za kiusalama kufuatia idadi kubwa ya watu kumzonga wakati mwili wa Mzee Majuto ulipokuwa ukiswaliwa.

Harmonize hii leo amefika kwenyemazishi hayo jijini Tanga mara baada ya Diamond kuonekana katika tukio la kuuaga mwili wa Mzee Majuto hapo jana Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Taarifa kutoka jijini Tanga zinaeleza kuwa, Harmonize ametolewa kwenye eneo hilo kupitia gari la Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela.

Related Articles

64 Comments

  1. Muuh Platnumz . ni msanii wakawaida sana sana. Ktk mziki. Hormonize na marehem majuto. Je nani alikua bora zaidi acha kutafuta sifa ktk misiba. Wangapi wameenda ktk msiba ule wenye umaarufu kuzidi yeye. Acheni kujivisha sifa za kijinga pasipo stahili sifa. Ushawahi ona wasanii gani wanafanya sifa za hovyo ktk misiba. Wema sepetu. Ni maarufu kuliko hormonize mbona hajatafuta kiki. Daimond ni maarufu kuliko hormonize mbona hajatafuta kiki.

  2. Tatizo una akili cha kwanza wema umaarufu wake ni ndan ya tanzaniap pekee nje ya nchi amna k2 chapil diamond hakwenda tanga kwenye mazish cha tatu harmonize alienda kwenye msiba tanga kwaajil ya kuzika ndipo maelfu ya watu wakaacha mambo ya mcba na kumfata harmonize ndipo walipo mficha iyo ndyo 7babu kwaiyo ucpende lopoka kwa v2 ucvo vijua

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW