Burudani

Harmonize akutana na Meneja wa TI & Travis Scott, uongozi wake waahidi mambo makubwa (+Audio)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amekutana na meneja wa wasanii maarufu nchini Marekani, Jason Geter na uongozi wake umezungumzia tukio hilo.

Harmonize na Jason Geter

Akiongea na Bongo5, Meneja wa Harmonize, Mr Puaz amesema kuwa wapo Marekani kupiga show kwenye baadhi ya miji mbalimbali, lakini pia kupanua wigo wa Bongo Fleva nchini Marekani.

Mr Puaz na Jason Geter

Mr Puaz amesema kuwa leo amekutana na meneja Jason Geter na wamefanya mazungumzo ya kikazi huku akiwaahidi mashabiki wa Harmonize kukaa mkao wa kula.

Jason GeterĀ  kwa sasa anawameneji wasanii wakubwa wawili nchini Marekani ambao ni TI na Travis Scott.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents