Burudani ya Michezo Live

Harmonize alamba dili nono, Ntafanya show Tanzania nzima “Kigoma napatamani sana, ntafanya tukio kubwa zaidi ya kushuka na ndege” – Video

Harmonize alamba dili nono, Ntafanya show Tanzania nzima "Kigoma napatamani sana, ntafanya tukio kubwa zaidi ya kushuka na ndege" - Video

Msanii wa Bongo Fleva na C.E.O wa @kondegang @harmonize_tz alamba dili nono kutoka kinywaji cha SAYONA. Akiongea na waandishi wa habari mapema hivi leo @harmonize_tz ameeleza jinsi alivyotoa mawazo yake katika kampuni hii ya Kitanzania kwamba yeye alitoa wazo la muundo wa chupa zitakazotumikia kuwekea kinywaji hicho.


Mbali na hilo @harmonize_tz ametangaza tuor maalumu ambayow itazunguka kote Tanzania ambayo itakuwa chini ya SAYONA TWIST na kutaja baadhi ya mikoa lakini baada ya hapo aliulizwa vipi kuhusu mkoa wa KIGOMA kutokuwepo kwenye orodha ya mikoa hiyo ya mwanzo na kusema kwakuwa Tamasha hilo litakalozunguka Tanzania nzima na yeye anatamani sana kufanya Show Katika mkoa wa Kigoma basi lazima aende kufanya show huko.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW