Harmonize ameachia video nyingine kutoka kwenye album yake ‘Bed Room’ – Video

Harmonize ameachia video nyingine kutoka kwenye album yake 'Bed Room' - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameachia video ya ngoma yake ambayo inapatikana kwenye album yake ya AFROEAST baada ya ngoma ya MAMA kufanya vizuri.

Album ya HARMONIZE YA afroeast ikumbukwe ina jumla ya ngoma 18 ngoma hiyo ikifanywa na Director JC.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW