Burudani

Harmonize ameachia video ya moja ya wimbo wake uliopo kwenye EP ya Afro Bongo, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayetoka katika lebo ya WCB Harmonize ameachia video ya wimbo wa Kainama aliyowashirikisha Diamond Platnumz na msanii kutoka Nigeria Burna Boy.

Ikumbukwe Harmonize aliachia EP ya nyimbo nne akiwashirikisha wasanii mbalimbali wakiwemo Yemi Alade, Mr Eazi na Sarah ambaye ni mpenzi wake. na alisema kuwa video za nyimbo zote ziko tayari.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents