Aisee DSTV!

Harmonize ameachia video ya wimbo wa ‘Show me what you got’ aliyomshirikisha Yemi Alade – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameachia video nyingine ya wimbo wake wa ‘Show me what you got’ ukiwa ni miongoni mwa nyimbo zake kutoka kwenye EP yake ya Afro Bongo.

Ngoma hiyo ikiwa imefanywa na maproducer wawili mmoja kutoka Tanzania na mwingine Nigeria ambao ni KrizBeatz kutoka Nigeria huku ikifanyiwa Mixed na Lizer Classic kutoka WCB, Huku video ya ngoma hiyo ikifanywa na Director Mr. C

https://www.youtube.com/watch?v=ePnIXt5T7e8

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW