AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Harmonize amuomba Diamond kuachia EP nyingine kama ya Afro Bongo, kisa wimbo wake kuchezwa uwanja wa taifa (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anayetoka katika lebo ya WCB Harmonize ameamua kutumia ukurasa wake wa Instagram kumuomba Diamond ambaye ni boss wake kuachia EP nyingine kama ya Afro Bongo.

Harmonize ameamua kumuandikia maneno hayo Diamond Platnumz kutokana na wimbo wake wa Kainama uliopigwa jana uwanja wa taifa katika mchezo kati ya bTanzania dhidi ya Uganda.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW