Burudani

Harmonize atangaza hali ya hatari, ujio wa ngoma yake mpya aliyowashirikisha Diamond na msanii wa Nigeria BurnaBoy

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB Harmonize ametangaza ujio wa ngoma yake mpya aliyoipa jina la AfroBongo muda wowote kuazia sasa hivi, aliyowashirikisha Diamond na Burna Boy kutoka Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameandika haya:-

Ingawa ameongeza kuwa ataachia nyimbo nne kwa wakati mmoja.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents