Burudani
Harmonize atangaza kuahirishwa kwa tamasha lake la Harmo night Carnival (+Video)
Harmonize ametangaza rasmi kuahirishwa kwa tamasha lake aliloIipa jina la HARMO NIGHT CARNIVAL na kusema kuwa taarifa zitatokea muda mwingine.
Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika hivi:-