Burudani
Harmonize atangaza show ya Ibrah Mtwara inaitwa King is coming home, Leo naachia ngoma wiki ijayo Ibrah (+Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ametanagza kuwa tarehe 22/8/2020 ameandaa show maalumu kwa ajili ya Ibrah ambayo inaitwa King is coming home.
Mbali na hilo Harmonize amethibitisha kuwa leo ataachia ngoma moja na wiki ijayo Ibrah ataachia ngoma mbili.