Burudani

Harmonize athibitisha kuwa mkuu wa mkoa wa DSM ndio mlezi wa lebo yake ya Konde Gang (+Video)

@harmonize_tz :- 🗣🗣 Kipekee Kabisa Ningependa Kumshukuru Rais Wetu Dr. JOHON POMBE MAGUFULI Kwakututeulia RC @abubakar_kunenge Aendeleze Pale Walipoishia Viongozi Wetu Wengine Watukufu Walio Pita ..!!! 🙏 Katika Harakati Za Kuikuza Na Kuing’arisha DAR ES SALAAM Tunaamini Dar es Salaam Ni Jiji Kubwa Na Lenye Dhamana Kubwa mipango mingi Ya Maendeleo ..!!! Nitakuwa Sijakosea Sanaa Nikisema Ndio Sura Ya Taifa Hili …!!! Achilia Mbali Shughuli Nyingi Za Kiutendaji Sambamba Na Hilo Kuna Akina Sisi Vijana Ambao Ndio Nguvu Kazi Ya Taifa Bila Kupepesa Macho Tunahitaji Mtu Wakutuongoza Kutusimamia Na Kututetea Na Kuturekebisha Pale Tunapoteleza Ili Tuweze Yafikia Malengo Yetu Ya Kuzisaidia Familia Zetu Maskini Itoshe Tu Kusema Tumepata Mlezi Na Msimamizi Wa Usalama Pamoja Na Maendeleo Yetu …!!!! @abubakar_kunenge KAZI ZIENDELEE…!!!!! Wana Dar es Salaam Tujivunie…!!! 🙏 DAY 2 MEETING na MLEZI WETU @kondegang NEW DAR ES SALAAM 💖

https://www.instagram.com/p/CGmaQJwnkN_/

https://www.instagram.com/p/CGkjEwWnknv/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents