Aisee DSTV!

Harmonize atoa video ya wimbo wa ‘Never Give Up’ akielezea changamoto alizopita kwenye maisha yake (+ Video)

Harmonize atoa video ya wimbo wa 'Never Give Up' akielezea changamoto alizopita kwenye maisha yake (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake wa ‘Never give up’ akielezea changamoto aalizopitia kwenye maisha yake na akieleza ni historia ya kweli kile alichokieleza kwenye wimbo wake huo wa ‘Never giveup’ yaani usikate tamaa’

Video ya wimbo huo imefanywa na Zoom production iliyochini ya Director Kenny.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW