Tia Kitu. Pata Vituuz!

Harmonize awashukuru mashabiki zake kutoka Kenya, afunguka maneno haya (+ Video)Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya WCB Harmonize alimaarufu KondeBoy ametumia siku ya mwaka mpya kuwasifia na kutoa shukurani zake kwa mashabiki zake kutoka Kenya.

Msanii huyo kutoka Tanzania ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akiwamwagia sifa nyingi mashabiki zake kutoka Kenya na kuandika maneno haya:- ” INGAWA MIE NI MTANZANIA NA NUSU….!!! ILA NAJIVUNIA UWEPO WENU NDUGU ZANGU WA KENYA …!!!! I LOVE YOU 🇰🇪 YOU CHANGED MY LIFE 🙏 FROM TANZANIAN SINGER 
TO EAST AFRICAN YOUNG STER 
I LOVE YOU FROM MY HEART ❤ 
TULIIBADIRI TAREHE 31/12/2018 
KUWA TAREHE 12/12/2018 NA TUKAIMBA HAPPY BIRHDAY KENYA…!!!! ❤ GOD BLESS 254🇰🇪 THANKS ALO NAAMINI 2019 ITAKUWA ZAIDII….!!! EAST AFRICA TO THE 🌍 ✔ “

Harmonize ameandika hayo baada ya kumaliza show yao ya Wasafi Festival ambayo ilifanyika Nairobi tarehe 31, Ingawa tarehe 26 aliifanyia Mombasa.

By Ally Juma.Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW