Harmonize baada ya kuahirisha tamasha uwanja wa Uhuru, ataja sehemu nyingine ya kwenda kupiga show hiyo

Kupitia ukurasa wake wa instagram, msanii na CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize ametangaza sehemu nyingine ya kwenda kufanyia show yake tarehe 28/11/2020 baada ya tamasha lake al;ilodai litachukua siku tatu la Harmo Night Carnival kuahirishwa.

Harmonize ametangangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa:-

I DREAMT SOMETHING BIG ON THIS DATE 28/11/2020 AND TRUST ME THE ENERGY STILL THERE …!!! THE GOOD THING IS IM GOING HOME …!!!! 🏁🏁🏁🏁🏁🏁 NALIHAMISHIA HILI VIBE NYUMBANI MTWARA…!!!! 📢📢📢📢📢📢📢 #nangwandasijaonastadium 🏟🏟🏟 HII TAREHE NILI KAA CHINI NIKAIOMBEA NIKA MWAMBIA M/MUNGU NATAKA KUFANYA KITU KIKUBWA KWENYE MUZIKI WANGU NAAMINI MAOMBI YANGU AMEYASIKIA 🏁🏁 I’M COMING HOME 🏟 I LOVE YOU @sayonatanzania FOR MAKING THIS FREE EVENT ILA UWANJA HAUTO TOSHA …!!! 🤔🤔🤔🤔 MTWARA KUCHELEE…!!!!!

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW