Burudani

Harmonize: Bange naisikia kwenye Bomba, Manara ndiye anayestahili kuwekwa ndani akirudi Bongo

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amejibu tuhuma iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba huwenda akawa anatumia bangi baada ya kuonekana akivuta sigara yenye moshi mzito katika moja ya video ambayo aliiweka mitandaoni.

Mkuu huyo aliyasema hayo wiki hii wakati akizungumza na wasanii katika mkutano wa kusikiliza changamoto za wasanii na kuzitatua ambapo alizungumzia suala la nidhamu kwa wasanii hao.

Baada ya kauli hiyo, jana Harmonize ambaye yupo nchini Afrika Kusini alijibu tuhuma hizo kwa njia ya matani huku akilihusisha na suala la Simba kufungwa goli 5 na Al Alhy ya Misri.

Harmonizi alipost video ambayo inamuonyesha mtu akilia na kuandika “Wakati mwingine tuacheni utani tuweni serious …!!! hivi mie niliejipost na mimoshi ya Sigara tena Sigara Embasy Hiyo Bange yenyewe naisikia kwenye Bomba…!!! na hawa wachezaji wa @simbasctanzania
Nani wakusokomezwa ndani tukitua Bongo…???? 🤣🤣🤣 hebu angalieni wanavotesa watu wasiokuwa na hatia 😭 
minazani tungeanza na @hajismanaraKwanza akamatwe achunguzwe….!!! 🤣🤣🤣🙏🙏Wakati mwingine tuacheni utani tuweni serious …!!! hivi mie niliejipost na mimoshi ya Sigara tena Sigara Embasy Hiyo Bange yenyewe naisikia kwenye Bomba…!!! na hawa wachezaji wa @simbasctanzania 

minazani tungeanza na @hajismanaraKwanza akamatwe achunguzwe….!!! 🤣🤣🤣🙏🙏”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents