Tupo Nawe

Harmonize na Q Chillah waachia video ya wimbo wa my boo (+ Video)

Harmonize na Q Chillah waachia video ya wimbo wa my boo (+ Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB Harmonize ameachia video ya wimbo mmoja kati nyimbo tatu walizozifanya na Harmonize katika EP yao ya Return of Chillah.

Video ya wimbo huo ukiwa umefanywa na director Hanscan

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW