Burudani

Harmonize na Rayvanny waja na kolabo ya kufungia mwaka 2018, wajihami mapema BASATA

Wasanii wawili kutoka WCB, Harmonize na Rayvanny wametangaza kuachia kolabo yao ya kwanza iitwayo Paranawe leo 1:00 Jioni kwa sasa za Afrika Mashariki.

palanawe audio

Harmonize kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa PARANAWE ndio itakuwa kolabo yake ya kufungia mwaka 2018.

Kwa upande mwingine, Harmonize amewaomba BASATA na watalaam wa lugha kumsaidia maana halisi ya neno  PARANAWE ambalo amelitumia kama jina la wimbo huo.

Kwa mujibu wa Kamusi ya MACMILLAN neno Paranawe ni  neo la Kireno na lina maana ya ‘Mtu pekee shujaa/hodari au mwenye nguvu’ .

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents