Burudani

Harmorapa atua msibani kwa Waziri Mwakyembe, afunguka haya (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop, Harmorapa amekuwa mmoja kati ya wasanii waliofika kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah. Rapa huyo alipata nafasi ya kuuzungumzia msiba huo na namna ulivyoigusa tasnia ya burudani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents