Michezo

Harry Kane na Ranieri wapata tuzo ya mwezi Machi Ligi Kuu Uingereza

Mcheazaji Harry Kane wa Tottenham amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza mwezi Machi.

kane4

Mshambuliaji huyo wa Uingereza aliongoza kikosi chake katika kuwania taji kwa kufunga magoli matano katika mechi nne huku kikosi cha Mauricio Pochettino kikiendelea kuipa presha Leicester inayoongoza ligi.

Na kocha wa Leicester Claudio Ranieri nae amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligii Kuu Uingereza mwezi Machi

32F1A03200000578-3530616-The_Italian_won_manager_of_the_month_for_March_adding_to_the_gon-a-8_1460157989505

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents