Habari

Harusi Trade Fair yafana

Harusi_gauni

Tamasha la Harusi Trade Fair lafana katika ukumbi wa Daimond likiwa chini ya Mustapha Hassanali, lengo likiwa kuhamasisha watu wanaofanya shughuli mbalimbali za Send Off, Harusi na Fungate, kuweza kujua ni vitu gani vya muhimu vinahitajika na wapi wanaweza kuvipata.


Alisema tamasha hili huu nimwaka wa pili, na lengo kufanya kila mwenzi wa nne ‘April’ ya kila mwaka , ili kuwesha kutoa maelezo na ushsuri juu ya namna gani watu wanavyoweza kupata huduma ya harusi na mavazi stahiki ya kisasa na rangi nzuri zinazohitajika siku hiyo ya harusi.

Pia kulikuwa na wafanya biashara madogomadogo  wanaotoa ushauri na kupamba katika siku ya ‘EVENTS’ mbalimbali, kwa ghalama nafuu .

Harusi_cheni

Cheni na manyukato yakiwa yamepamba kwaajili ya kunadiwa, pindi mtu akihitaji anaweza kuuziwa.

Harusi_gauni_la_blue
Harusi_gauni_la_harusi

Harusi_Habari_leo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents