Burudani
Harusi ya Shilole: Harmonize amzawadia Shilole gari ya tsh milioni 9 (Video)
Msanii wa muziki, Harmonize alihudhuria sherehe ya ndoa ya Shilole na Uchebe, ambapo ametoa zawadi ya tsh milioni 9 kwaajili ya kununua gari aina ya Noah ili liwasaidie wawili hao katika shunguli zao biashara. Muimbaji huyo wa WCB aliambatana na mpenzi wake, Sarah.