Michezo

Hasheem Thabeet afunguka sababu za kuachana na NBA na kutimkia Japan ‘sijashuka kiwango’ (+video)

Mchezaji wa kikapu nchini Tanzania, Hasheem Thabeet amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Bongo5 sababu za yeye kuachana na ligi pendwa ya kikapu duniani ya NBA na kutimkia Japan kujiunga na klabu ya Yokohama B inayoshiriki ligi kuu ya kikapu nchini humo B1 League .

Hasheem amesema sababu za kutimkia huko sio kwamba alikuwa ameshuka kiwango bali ulikuwa ni uamuzi wa Menejimenti yake na wala sio kama watanzania wengi wanavyoongea kuwa alilewa sifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents