Habari

Hasheem Thabeet aisadia Thunder kutoa kichapo cha 114-69 dhidi ya Charlotte Bobcats

Jana Hasheem Thabeet na wachezaji wenzake wa timu ya Oklahoma City Thunder ametoka uwanjani kifua mbele kwa kuchangia ushindi wa kishindo wa timu yake dhidi ya Charlotte Bobcats.

Thunder waliwatandika Bobcats vikapu 114 kwa 69 ambapo Thabeet alifunga vikapu 13 katika dakika 26 alizocheza.

Kesho kutwa timi hiyo itakutana uso kwa uso na Rockets.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents