Videos

Hasira Hasara: Kanye West amshambulia tena paparazzi, ashtakiwa kwa ‘jaribio la unyang’anyi’ (video)

Kanye West hajawahi kuwa rafiki wa mapaparazzi. Hasira zake kwa watu hao jana zimemfanya amshambulie mmoja wao kwenye uwanja wa ndege wa LAX akitaka kumnyang’anya camera, na sasa anashtakiwa kwa kesi ya jaribio la unyang’anyi, attempted robbery.

http://www.youtube.com/watch?v=niWH8RB4x_0

Paparazzi huyo alipelekwa hospitali kutibiwa na hali yake haijulikani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents