Michezo

Hatimae Diego Simeone aongeza mkataba Atletico Madrid

Kocha mkuu wa klabu ya Atletico Madrid, Muargentina Diego Simeone maarufu kama ‘Cholo’ amekubali kuongeza mkataba na klabu hiyo wa miaka miwili hadi mwaka 2020.

Diego Simeone

Diego Simeone (49) ambaye kulikuwa na tetesi za kuihama klabu hiyo kwenda kukimbilia Ligi kuu England.

Taarifa hizo zimethibitishwa na klabu hiyo kupitia kwenye mtandao wa Klabu hiyo Atletico Madrid  ambapo mkataba huo utamfanya asalie klabuni hapo hadi june 2020.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents